Huduma zote za kiofisi, uchapishaji na vifaa vya shule
Uchapishaji wa rangi na nyeusi-nyeupe, kuanzia hati ndogo hadi kubwa.
Huduma ya kunakili nyaraka kwa haraka na kwa ubora mzuri.
Kufunga vitabu, reports, pamoja na kulamineti vyeti na kadi.
Kalamu, madaftari, karatasi, faili, staplers na vifaa vingine.
Daftari, kalamu, rula, begi la shule na mahitaji mengine ya wanafunzi.
Email, maombi ya online, kujaza fomu na kutengeneza CV.
Sisi ni stationery shop inayotoa huduma za uhakika kwa bei nafuu. Tunalenga kuwahudumia wanafunzi, wafanyakazi wa ofisi na jamii kwa ujumla kwa kutoa huduma za haraka na zenye ubora.
Mahali: Karibu na kituo cha daladala Kairakoo